UDAHILI KWA WAOMBAJI WA MAFUNZO YA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KATIKA VYUO VYA MBALIMBALI KWA MWAKA WA MASOMO 2020/2021 Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Sura ya 129, ili kusimamia na kuratibu utoaji wa elimu ya ufundi na mafunzo katika vyuo vya Elimu ya Ufundi na Mafunzo. Jukumu mojawapo la Baraza ni kuhakikisha kuwa mafunzo yanayotolewa katik…

