Biashara ya Kuandaa Matunda na Kusambaza
Wazo hili la biashara ni la kutengeneza na kuuza / kusambaza bidhaa Inajumuisha kuuza aina ya matunda kama maembe, mananasi, Mapapai, tikiti, na ndizi tamu ambazo zinunuliwa kwa idadi kubwa.
Uzalishaji wake
Namna ya kufanya biashara hii ni rahisi wala haihitaji technologia kubwa, nikunawa mikono kwa maji safi na kuosha matunda vizuri , menya na kata vipande vipande na kujazwa ndani ya vyombo vya kufanya saladi za matunda. Unaweza kuweka hata kwenye ndoo au mfuko na kusambaza.

Uchambuzi wa Soko
Muundo wa soko la matunda na mahitaji yake ni ya juu sana katika hasa maeneo ya mijini, kwenye ofisi za umaa na maeneo yenye mikusanyiko ya watu.
Hatari ya Biashara/ Business Risk
Hatari ya biashara inayohusika ni hatari na afya zinazohusiana na usalama zinazozunguka utengenezaji na usindikaji lakini zinaweza kutatuliwa.
Njia ya ktatua ni kwa kuajiri wanasayansi wa chakula na kufuata usalama wa chakula na tratibu za serikali za usafi
Uwezo wa uzalishaji
Uwezo wa uzalishaji hutegemea mtaji uliowekwa na uwezo. Mfano unaweza kuwa na wazo la biashara linalolenga uuzaji wa saladi za matunda 250 Mahitaji ya Uwekezaji ni madogo na ni rahisi.
Mahitaji Gharama za uzalishaji
vifungashio vya saladi za matunda,Visu, Ndoo Mavazi, Fridge,mashine ya kumenyea ukiweza, ununuaji matunda na gharama nyingine.


No comments:
Post a Comment